CHAMA cha Waandishi wa Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), kimewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa wazalendo wa kuzipigania tunu za taifa.
Kimesema kuwa tunu hizo ndizo misingi mikubwa ya Watanzania kuachanaya uhalifu inayoliangamiza taifa.
Mwenyekiti wa chama hicho, Edwin Soko, alisema Tanzania imekumbwa na wimbi la uhalifu katika nyanja za kisiasa, uchumi na kijamii, jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo.

0 Maoni Kuhusu Habari Hii