Wajibu Wa Wananchi Katika Kuzuia Uhalifu

  • Ukiona uhalifu unatendeka toa taarifa mapema katika kituo cha Polisi kilicho karibu
  • Endapo utamtilia shaka mtu au watu usiowajua toa taarifa mapema katika vituo vya Polisi au ofisi ya serikali ya mtaa/kijiji
  • Usalama wa vyombo vya usafiri kwenye maegesho, kumbuka kufunga pikipiki au baiskeri kwa mnyororo, kuweka alamu katika magari,kuondoa vitu vya thamani ndani ya gari
  • Kuwa na zizi imara la mifugo ili kuzuia wezi na kuiweka mifugo alama
  •  Kuepuka kusafiri na kiwango kikubwa cha fedha na vitu vyenye thamani
  • Kujenga tabia ya kuweka alama kwenye vitu
  • Kutoacha vitu vya thamani katika sehemu za wazi. Hata kama ni ndani ya nyumba vitu vya thamani vifungiwe ndani ya kabati au stoo.
HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI
  •  Kusimamia sheria na kanuni za usalama barabarani mfano kudhibiti mwendo kasi, n.k
  • Kuthibitisha wanaostahili kupewa leseni za udereva
  • Ukaguzi wa magari na madereva
  • Kuongoza magari barabarani yaende kwa mtiririko unaostahili
Vielezo: , , , ,

Swahili Zone

Tovuti huru habarishi (blogu) inayoendeshwa kiueledi yenye lengo mahususi la kuifikishia jamii habari, makala na matukio wakati muafaka inapowezekana kufanya hivyo!

0 Maoni Kuhusu Habari Hii

Andika Maoni Yako