MADKTARI IDARA YA AFYA YA AKILI MWANZA WAAZIMISHA SIKU YA KIFAFA DUNIANI..

Madaktari wa idara ya afya ya akili mkoani mwanza jana wameazimisha siku ya kifafa duniani
inayoadhimishwa tarehe 26 march kila mwaka duniani kote.Akizungumza na wanahabari daktari mkuu wa idara ya afya ya akili katika hosptari ya rufaa ya BUGANDO(BMC)

 Dkt.kiyeti A.Hauli amesema kifafa ni kama magonjwa mengine na kinatibika hivyo jamii ichukue hatua ya kuwapeleka wagonjwa katika tiba ili waweze kuhuzuria kliniki ya matibabu.


Mgonjwa wa Kifafa alieanguka katika Moto
:

Akiongeza Dkt.Hauli anasema jamii ifungue macho kwa sasa na isibakie na dhana potofu ya kuamini ugonjwa huu ni laana hiyo si kweli ugojwa huu si laana na unatibika na wala auambukizi,mpaka sasa kwa takwimu ya magonjwa yanayo ongoza kwa kutibiwa au watu kuuzulia kliniki ugojnwa wa kifafa unashika namba 2 kati ya magonjwa 10 kanda ya ziwa.

Dkt.Kiyeti A.Hauli Daktari bingwa wa afya ya akili(BMC)akizunguza na wandishi wa habari ofisini kwake(Picha na Lonelynzalii)

Wadau afya wakijadili ugonjwa kifafa wa kwanza kushoto ni Mr.stephano Severin(Medical Representative-SINOFU)
wa pili Lonely Nzalii(Specialist Hearth Journalist)wa tatu Dr.Unice Masangu(afya ya akili Sokue Toure Hosptari)
wakwaza kulia Dr.Yusuph S.amnagerwalla(Idara ya watoto-BMC)wa pili kulia Dr.Elizabeth Kwiyolecha(Medical Officer-BMC)
CHANZO:LONELY NZALI(specialist health journalist)
Vielezo: , , , , , , ,

Swahili Zone

Tovuti huru habarishi (blogu) inayoendeshwa kiueledi yenye lengo mahususi la kuifikishia jamii habari, makala na matukio wakati muafaka inapowezekana kufanya hivyo!

0 Maoni Kuhusu Habari Hii

Andika Maoni Yako