Novat:Serkali Yangu sio Sikivu kwa Vijana

Kijana Novat Carol Ambae alimaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania na kukosa Kazi na kujikuta akianzisha kituo cha Kijamii Wilayani Sengerema MKoani Mwanza Elimu living Labaratory
Asema Serkali ya Tanazania hakika Haina Muda wa kusaidia viajan wake hata kama Wanajiajiri wao Wenyewe


Mmoja ya Nyumba Zilizojengwa kwa kutumia Chupa za Maji


Vielezo: , ,

Swahili Zone

Tovuti huru habarishi (blogu) inayoendeshwa kiueledi yenye lengo mahususi la kuifikishia jamii habari, makala na matukio wakati muafaka inapowezekana kufanya hivyo!

0 Maoni Kuhusu Habari Hii

Andika Maoni Yako