Akiwa ameficha madawa ya kulevya aina ya Heroin ndani ya lap top. Jamaa alipita kwenye zile screens pale airport ,kupita tu jamaa wakahisi laptop ina kitu sababu ilikuwa nzito sana ,so wakaitoa wakajaribu kuiwasha wakaona laptop ni mbovu haiwaki ndo wakahisi kuna kamchezo hapo so wakaifungua wakakutaka na 800 grams za heroin....
Jamaa kesha plead guilty and he is facing up to 40yrs in jail....
Habari ikaongeza kuwa watanzania ni among wengi waliokamatwa hapo Los Angeles airport (LAX) wakiwa na madawa ya kulevya..OMG.....OMG...What is happening to our beloved country????
0 Maoni Kuhusu Habari Hii