TAZAMA PICHA TUKIO ZIMA JINSI POLISI WALIVYOKAMATA MADAWA YA KULEVYA MOROGORO

Watuhumiwa waliokuwa na mwili wa marehemu Khalid Kitala katika kituo kikuu cha polisi Morogoro.



 Mwili wa marehemu Khalid Kitala (47) muda mfupi kabla ya kuifanyia uchunguzi

  Watuhumiwa wakipanda gari la polisi tayari kwenda kituo kikuu cha polisi.
Kete zilitolewa katika gari baada ya kupekuliwa
Hapa kuna kete aina mbili zinaonekana katika hii picha, za juu nyeupe sana ndizo zilitopatikana katika gari baada ya kupekuliwa na hizo za rangi kama njano kwa mbali ndizo zilitotolewa katika tumbo la marehemu baada ya kupasuliwa.

 
Huyo ni Dk Lyamuya ambaye aliwapiga chenga waandishi wakati wakimtaka kueleza alichoona wakati wa uchunguzi wa maiti aliyepasuliwa tumbo ili kuweza kubaini kama ni kweli maiti ilikuwa na kete zinazodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya lakini baadaye aliongea nao

 Hati za kusafirisia, hiyo ya njano ni ile iliyokuwa ikitumiwa na marehemu Khalid.
 Huyo ndiye anayedaiwa kuwa ndiye ndugu wa marehemu, hizo ni karoti wakati wa zoezi la upekuaji.
 Mmoja wa makachero wa jeshi la polisi akipekua hadi katika injini ya gari.
Vielezo: , , , , , ,

Swahili Zone

Tovuti huru habarishi (blogu) inayoendeshwa kiueledi yenye lengo mahususi la kuifikishia jamii habari, makala na matukio wakati muafaka inapowezekana kufanya hivyo!

0 Maoni Kuhusu Habari Hii

Andika Maoni Yako