Mtangazaji maarufu wa kituo cha habari na mawasailiano cha sengerema Telecentre Kupitia radio ya sengerema 98.8 kilichoko wilaya ya semgerema mkoani mwaza DUAH JULIUS amezungum,na swahilizonetz na kufunguka kuhusu jinsi ndoto yake ya kusakata kabumbu katika ngazi ya kitaifa na kimataifa ilivyoweza kuzima na kujikuta akiwa mtanagazji wa michezo.
Duah amesema enzi za kusakata kabumbu alikuwa na ndoto kubwa na alifanikiwa kucheza mpira kwa muda mrefu sana katika eneo la kiungo mpaka kupewa jina la Deco mwanasoka aliewai kutamba barani ulaya katika club za barcelona na badae chealse huku akiitumikia timu yake ya taifa ya Ureno
duah anasema anasikitishwa sana na jinsi mfumo mbaya wa mpira wa tanzania uliosababisha yeye kushindwa kutimiza ndoto zake za kimatifa na kudumbukia katika utangazaji
Duah julius(Mtangazji radio sengerema) |

0 Maoni Kuhusu Habari Hii