Alie wai kuwa waziri wa Nishati na Madini Mh Wiliam Ngeleja amesema Pesa za Escrow Hazikuwa pesa za umma bali zililuwa pesa za Mtu binafsi Na aliomba msaada kama mtu mwingine vile amabvyo anaweza kuomba pesa anasema Ni kweli alipokea kiasi cha shilingi millioni arobain na laki Nne na anasema alilipa kodi millioni kumi na tatu na serkali ilipokea katika ufafnuzi wake anasema tangu lini mwizi analipa kodi kwa mamlaka na anakuwa huru akiulizwa swali na mtangazji Bwana Alloyce Nyanda Kuwa ilikuaje mpaka ukahojiwa na kamati ya Maadili kama hukuchukua pesa na Tangu lini mtu asiemwizi anaweza kuhojiwa na Kamati kulitokea nini katika kulijibu hilo Mh ngeleja alisema ni utaratibu tu wa kawaida tu mtu anaetuhumiwa kuhojiwa lakin hujasikia Kamati imesema mimi mwizi wala mahakama haijasema na Navyojua mtu mwizi huwa yupp tumande au mahakamn lakin mimi nadunda na nipo hapa katika interview yalikuwa majibu ya mh ngeleja
0 Maoni Kuhusu Habari Hii