Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Kelvin Twissa (kushoto),akiongea jambo kwenye kikao cha waandishi wa habari,wakati wa kuwatambulisha wasanii wa kundi la P-Square,wanaotarajiwa kufanya shoo kesho ndani ya viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambapo tamasha hilo limeandaliwa kwa udhamini wa mtandao wa Vodacom.
chanzo globalpublisher
![]() |
Wasanii wa P-Square, wakiwa kwenye pozi na Lady Jaydee,Profesa Jay,Beny Pol na Joh Makini. |
0 Maoni Kuhusu Habari Hii