Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, Dk. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wamevuliwa vyeo vyao vyote baada ya kuhusika na waraka wa mkakati wa siri wa kukipasua chama unaojulikana kama 'Waraka wa Ushindi' ambao umevunja katiba za chama hicho, kupandikiza chuki za kidini, majungu na kukashifu viongozi wa chama.…
0 Maoni Kuhusu Habari Hii