RAJA BIZZLE KUACHIA VIDEO MPYA MWANZO WA 2014.




Raja Bizzle

Baada ya kukaa kimya kwa muda Mrefu mwanamziki Rajab Shaban a.k.a Raja Bizzle ameamua kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina “Nitakujali”alio washirikisha wasanii wakongwe  Bwana Misosi na Sajna iliyotengenezwa na Producer Sam Timba wapenzi wa muziki wa Bongo fleva Mkae mkao wa kula kwa bonge la video kanda ziwa.


Na:lonely Nzali”Mwanza”
       




Vielezo: , , ,

Swahili Zone

Tovuti huru habarishi (blogu) inayoendeshwa kiueledi yenye lengo mahususi la kuifikishia jamii habari, makala na matukio wakati muafaka inapowezekana kufanya hivyo!

0 Maoni Kuhusu Habari Hii

Andika Maoni Yako